WANANCHI WAMJIA JUU ASKOFU GWAJIMA

PAKUA APPS KALI INAYOKUPA VITU VIZURI VYOTE BONYEZA HAPA 

Hivi karibuni baada ya video kusambaa mitandaoni, ikimuonyesha mchungaji gwajima akimtoa mtu mapepo huku akiamuru mapepo hayo yaende kwa mheshimiwa paul makonda,hata hivyo,pepo hilo lilimjibu gwajima kuwa huyo mtu haingiliki wamemshindwa.

Kitendo cha kuamuru pepo litoke na kuingia kwa makonda kimelaaniwa na wananchi wengi na kumtuhumu mchungaj huyo kuwa sio mchungaji bali anatumia jina la Mungu kujipatia kipato,wengine walienda mbali zaidi na kutaka vyombo vya usalama vimchukulie hatua mchungaji huyo kwa kupotosha watu.